Lingua   

Angalia Saa

Kalamashaka
Lingua: Swahili (Sheng)na-dedicate-ia hii
ma-hero wote wa Kenya
kila mtu ame-struggle
na hakuwa paid for
hii ni time ya kuwa paid for
revolution comrade

najua unachotaka
najua unapoenda
najua wataka haki yako
angalia saa
angalia saa
najua unachotaka
najua unapoenda
najua wataka haki yako
angalia saa
angalia saa
wewe ni shujaa
machozi yako
yananivunja moyo
mbona sasa
dunia imekutupa
angalia saa
angalia saa
wewe ni shujaa

tell me
what’s going to
be without you in this world
can’t you
see that
you’re a hero
can you see a sign
can you see a sign
you’re a hero
I know what you going through
I know what’s been on your mind
I know you’re almost giving up this war
usikate tamaa
usikate tamaa
wewe ni shujaa
wewe ni shujaa
wewe ni shujaa

damu jasho machozi
ni mau ikashinda war mashabik wakaenda na trophy
matigali hana ata ka-clothing
serikali inataka imfukuze Nairobi
mangaa wanataka wamangishe G-Rongi
hawana kodi
they don know who we be haikosi
white highlands no more
si siri hawatoshi
hii vita imepita rangi ya ngozi
na kabila najua ni mbili tu
maskini na mdosi
so synchronising time 205
decolonizing minds
msisemi mliji-hypnotise
wana-run divisions za sheke wa kifiro
bugi mato
mtu anatusi matiti ya mother alinyonya
alafu anapigiwa makofi na kilo
wa-shoot Muthoni wa Nyanjiru
the same route wa-rape mama yetu Njeri
hizi ndivyo trial ya ma-hero
ka Kenya ni matrix nani ndio Neo
ka Kimathi hakuwa the one
then society iko drunk na opium
ilivyosemekana na Karl Marx
na philanthropic church
na-pay tax kuwa harassed daily
mothers can’t even protect their babies
wanaume hawaezi protect ma-ladies
wao haki iwe ngao
vita vya bunduki skia mikuki
bullets ivuke nayo
tangu era za nyayo
wanakumanga msee

usikate tamaa
usikate tamaa
wewe ni shujaa
wewe ni shujaa
wewe ni shujaa

tukiwapasulia pazia tu-expose
zile ghasia nyi hufanya
mtatukuta kwetu mtatuvamia
hiyo ilikuwa last year
nilidhani mta-add this year sense
kwa wimbo zenu tulisinzia
bado mnasinzia this year
unaeza teta ukishukiwa kimakosa
unaeza dema ukishibishwa uongee mbaya
unaeza hepa ukinusiwa
unaeza tema ukizidiwa
hakuna haja ya kuji-force kitu hautaki
si unajua vile kwao huenda
mgema akisifiwa
writer m-famous aliibiwa
na wife yake aka-rape-iwa na
hiyo ndio asanti alipatiwa
kufanya nini
kuwatolea ma-idea za kuwasaidia
kuwabadilishia city
ukuta zote si ni through
ka mng’aro ya poko
ya ku-expose part ya juu ya mguu
ukiandika ma-assasinations
ma-sniper maarufu
opposite building kwa roof
maiti zinaachwa kwa boot ya ndai
booth zinameza dough
time yako ya kuongea imeisha
adui wanakuwinda na harufu
kwa ile roho safi na moyo mkunjufu
hamnyakei kuanzisha corruption zero tolerance
na kufungulia kesi ya Goldenberg alipewa asante gani
account iliarishwa design ya cholera
tushavumilia viboko chini ya ma-slave master
hadi kupigwa na mayai ya kuoza ka Kenyatta

najua wataka haki yako
angalia saa
angalia saa
najua unachotaka
najua unapoenda
najua wataka haki yako
angalia saa
angalia saa
wewe ni shujaa
machozi yako
yananivunja moyo
mbona sasa
dunia imekutupa
angalia saa


Pagina principale CCG

Segnalate eventuali errori nei testi o nei commenti a antiwarsongs@gmail.com
hosted by inventati.org