Language   

Bella Ciao

Anonymous
Back to the song page with all the versions

83a. Bella ciao kwaherini [Versione in Swahili del Partito Comunista...
Asubuhi moja niliamkaAlpajiri nilizinduka
Oh bella ciao, bella ciao, bella ciao, ciao, ciaoOoh bella ciao, kwaherini, bella ciao, ciao, ciao

Na nilimpata mvamizi.Nikampata mvamizi.
  
Oh mshiriki nichukueWazalendo niondosheni
Oh bella ciao, bella ciao, bella ciao, ciao, ciaoOoh bella ciao, kwaherini, bella ciao, ciao, ciao
Oh mshiriki nichukueWazalendo niondosheni
Kwamba ninahisi kama kufa.Kwani nahisi nafa.
  
Na kama nitakufa kama mshirikiNikifa mimi kama zalendo
Oh bella ciao, bella ciao, bella ciao, ciao, ciaoOoh bella ciao, kwaherini, bella ciao, ciao, ciao
Na kama nitakufa kama mshirikiNikifa mimi kama zalendo
Ni lazima mnizike.Naomba mnipumzishe.
  
Mtanizika hapo juu, juu ya mlimaMnipumzishe juu mlimani
Oh bella ciao, bella ciao, bella ciao, ciao, ciaoOoh bella ciao, kwaherini, bella ciao, ciao, ciao
Mtanizika hapo juu, juu ya mlimaMnipumzishe juu mlimani
Chini ya kivuli cha ua la ajabuKivulini mwa ua nzuri.
  
Wata wote wanaotembea watasemaWapitapo wapita njia
Oh bella ciao, bella ciao, bella ciao, ciao, ciaoOoh bella ciao, kwaherini, bella ciao, ciao, ciao
Wata wote wanaotembea watasema:Wapitapo wapita njia
Ni ua zuri.Watalisema ua nzuri.
  
[ Huu ni maua ya mshirikiIli ni ua la wazalendo
Oh bella ciao, bella ciao, bella ciao, ciao, ciaoOoh bella ciao, kwaherini, bella ciao, ciao, ciao
Huu ni maua ya mshirikiIli ndijo ua la wazalendo
Aliyekufa kwa uhuru. ]Waliopia ukombozi.

Back to the song page with all the versions

Main Page

Note for non-Italian users: Sorry, though the interface of this website is translated into English, most commentaries and biographies are in Italian and/or in other languages like French, German, Spanish, Russian etc.

hosted by inventati.org